Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,971
- 132,621
Naunga mkono hojaBinadamu ni zaidi ya seli.
Ana mind ana consciousness ambavyo ni matokeo ya nafsi iliyo katika roho.
Hujajibu swali.
Hiyo roho unaweza kutuhakikishia ipo?
Hivi kwanini watu wanapenda kupuuza wosia wa marehemu?. Mara hii wamesha sahau kwamba mpendwa alitukataza kutumia vitu vya mabeberu ili tuvilinde vya kwetu!English inachochea maambukizi ya virusi vya korona
Bado hujahakikisha roho ipo.PLife after Death: What happens after death?
Wanabodi, Hili ni bandiko la faraja kwa wafiwa waliowapoteza Wapendwa wao, wakidhani kifo ndio mwisho wa maisha, kumbe sio. Kifo ni mwisho tuu wa mwili na uhai, lakini roho ipo, haifi na inaishi milele. Uhai umeumbwa na kifo pia kimeumbwa. Ukizaliwa ni hakika siku yako uliondikiwa kufa...www.jamiiforums.com
Mkuu Kiranga, dini ni imani, tumeaminisha Mungu ametuumba kwa udongo akatupulizia pumzi ya uhai ambayo ndio roho. Mtu akifa anasemwa amekata roho kwa roho kuacha mwili. Roho haifi.Bado hujahakikisha roho ipo.
Ukiamini wewe ni Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa, kuamini huko kunakufanya uwe Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa kweli?Mkuu Kiranga, dini ni imani, tumeaminisha Mungu ametuumba kwa udongo akatupulizia pumzi ya uhai ambayo ndio roho. Mtu akifa anasemwa amekata roho kwa roho kuacha mwili. Roho haifi.
Japo this is just a belief, there is no any proof of presence of God na kutuumba kwa udongo na kutupulizia pumzi ya uhai lakini kuamini kunakifanya hicho kitu kuwepo. Kuamini Mungu kunamfanya awepo.
Kwenye hili la kuamini Mungu yupo, kwa vile wewe unajulika wazi ni atheists, then our arguments zina fall kwenye parallel lines, we'll never meet!. Ma atheists wanataka a scientist proof of God, ambayo haipo, sisi waumini tunaamini kwa imani tuu kuwa Mungu yupo bila any scientific proof of His existence na ni kupitia powers zake tunayaona matendo Yake, uwezo Wake na uwepo Wake!.
P