Line between life and death

Haki relate na ubongo ndio maana unaweza kukuta watu ambao ni mapacha kufanana kabisa na wamekuzwa katika mazingira ya pamoja lakini mmoja akawa katili sana(mwenye roho mbaya) na mwingine akawa mwema sana(mwenye roho nzuri).
Mbona kama hiki ulichokiandika kina relate na ubongo?

Au kikwenu ubongo mnaita roho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi utanifaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni hilo jina roho au kujua kuna kitu/hali/power/force (or whatever you want to call it) kinacholeta ukatili kwa mtu mmoja na wema kwa mwingine?
Zingatio ni kwamba watu wote wamelelewa na kukua katika experience moja
Sasa utafikaje hitimisho kua roho ipo kweli wakati dhana hiyo ime base kwenye assumptions?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukatili na wema hizo ni tabia za watu katika namna ya hao watu kuwa-treat wengine

Kwaiyo tabia kikwenu inaitwa roho?
 
Copy and paste,ungepaswa uandike kwa kiswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga na Scars nini kinafuata baada ya kifo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha mengine kwa vitu hai vingine.

Hata kabla wewe hujafa kama mtu, seli zako zinakufa kila siku.

Kwa mtu mzima wa kawaida, seli kati ya bilioni 50 na 70 hufa kila siku.

Ukifa wewe, organs zako zinaacha kufanya kazi, nyama zinaoza, unakuwa mbolea ya kurutibisha udongo, maisha yanaendelea kwa funza, mchwa, minyoo, na mimea, kupitia matter ambayo ilikuwa wewe.
 
Binadamu ni zaidi ya seli.
Ana mind ana consciousness ambavyo ni matokeo ya nafsi iliyo katika roho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…