Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,532
- 8,280
Mpaka Sasa sijui tatizo ni kocha au Aina ya Wachezaji, Ila bila ushabiki kazi bado ni mbichi.Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani
Pira mawazo,
Pira wasiwasi,
Pira mashaka,
Pira bora liende,
Pira hemweluhemwelu,
Pira raha hakuna,
Pira dakika ziishe hatujazoea jamani, huyu kocha ananini na saidoo?
Huyu kocha ananini na bocko? Ananini na mozes huyu kocha? Yaani eti ule uchezaji wa jana ndo tupangiwe mameled kwenye super cup tutayaoga dadeq,
Kwanini viongozi wa simba wasimpe mapema timu mzee wa boli itembee ili tuepuke fedheha inayotunyemelea?
Sisi tumezoea
Pira biriani,
Pira udambwidambwi,
Pira minyamanyama,
Pira peleka moto,
Pira pumzi ya kifo.
Niseme wazi jana uto walijitakia wenyewe kupoteza ngao yao mbele ya timu iliyojichokea ya boko na ntibazooo.
Yani kama vipi timu apewe mgunda kabisa, sina imani na robhaaati.
Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani

Yaani tunatia huruma mkuuMpaka Sasa sijui tatizo ni kocha au Aina ya Wachezaji, Ila bila ushabiki kazi bado ni mbichi.
Kikubwa mtani kalala na viatu😂😂😂Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani
Pira mawazo,
Pira wasiwasi,
Pira mashaka,
Pira bora liende,
Pira hemweluhemwelu,
Pira raha hakuna,
Pira dakika ziishe hatujazoea jamani, huyu kocha ananini na saidoo?
Huyu kocha ananini na bocko? Ananini na mozes huyu kocha? Yaani eti ule uchezaji wa jana ndo tupangiwe mameled kwenye super cup tutayaoga dadeq,
Kwanini viongozi wa simba wasimpe mapema timu mzee wa boli itembee ili tuepuke fedheha inayotunyemelea?
Sisi tumezoea
Pira biriani,
Pira udambwidambwi,
Pira minyamanyama,
Pira peleka moto,
Pira pumzi ya kifo.
Niseme wazi jana uto walijitakia wenyewe kupoteza ngao yao mbele ya timu iliyojichokea ya boko na ntibazooo.
Yani kama vipi timu apewe mgunda kabisa, sina imani na robhaaati.
Tumshukuru che malon na aliy salimKikubwa mtani kalala na viatu
Hakika pira mbovu kabisa! Mgunda alikuwa anaficha makosa ya Huyu Mbrazil sasa yupo na timu yake Pira bovu kabisaNdugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani
Pira mawazo,
Pira wasiwasi,
Pira mashaka,
Pira bora liende,
Pira hemweluhemwelu,
Pira raha hakuna,
Pira dakika ziishe hatujazoea jamani, huyu kocha ananini na saidoo?
Huyu kocha ananini na bocko? Ananini na mozes huyu kocha? Yaani eti ule uchezaji wa jana ndo tupangiwe mameled kwenye super cup tutayaoga dadeq,
Kwanini viongozi wa simba wasimpe mapema timu mzee wa boli itembee ili tuepuke fedheha inayotunyemelea?
Sisi tumezoea
Pira biriani,
Pira udambwidambwi,
Pira minyamanyama,
Pira peleka moto,
Pira pumzi ya kifo.
Niseme wazi jana uto walijitakia wenyewe kupoteza ngao yao mbele ya timu iliyojichokea ya boko na ntibazooo.
Yani kama vipi timu apewe mgunda kabisa, sina imani na robhaaati.
Aibu ipo mbioni kutukumba kaka.Hakika pira mbovu kabisa! Mgunda alikuwa anaficha makosa ya Huyu Mbrazil sasa yupo na timu yake Pira bovu kabisa
Ni kweli. Maandalozi ya Timu yafanyike katika viwanja vinavyofanana na mazingira yetuinawezekana uwanja ulituathiri pia aina ya kikosi kilivyopangwa mtu kama Boko hawezi kutuliza mpira , Mzamiru tunajua uchezaji wake.
Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani
Pira mawazo,
Pira wasiwasi,
Pira mashaka,
Pira bora liende,
Pira hemweluhemwelu,
Pira raha hakuna,
Pira dakika ziishe hatujazoea jamani, huyu kocha ananini na saidoo?
Huyu kocha ananini na bocko? Ananini na mozes huyu kocha? Yaani eti ule uchezaji wa jana ndo tupangiwe mameled kwenye super cup tutayaoga dadeq,
Kwanini viongozi wa simba wasimpe mapema timu mzee wa boli itembee ili tuepuke fedheha inayotunyemelea?
Sisi tumezoea
Pira biriani,
Pira udambwidambwi,
Pira minyamanyama,
Pira peleka moto,
Pira pumzi ya kifo.
Niseme wazi jana uto walijitakia wenyewe kupoteza ngao yao mbele ya timu iliyojichokea ya boko na ntibazooo.
Yani kama vipi timu apewe mgunda kabisa, sina imani na robhaaati.
Huyu Saido si ndo msimu ulioisha tulikuwa tunamtukuza? Si ndio huyu alilingana magoli ya kufunga na mzee wa kutetema wa Utokoloni?Ndugu wanalunyasi wenzangu, kwa pira lile la jana, yaani