B bhakamba Member Joined Oct 10, 2016 Posts 78 Reaction score 68 Nov 8, 2016 #1 Wanafunzi na waalimu mliopo humu nahitaji kujua likizo kwa advance ni lini hasa naona kuna dalili za kupigwa kizinga
Wanafunzi na waalimu mliopo humu nahitaji kujua likizo kwa advance ni lini hasa naona kuna dalili za kupigwa kizinga
KingDenis Senior Member Joined Aug 21, 2014 Posts 197 Reaction score 93 Nov 8, 2016 #2 Someni tu likizo mwaka huu hakuna tupo bize