Samahani wana JF. Naomba kwa anayejua kuhusu namna ya kupata likizo bila malipo. ni mfanyakazi gani anastahili kuchukua, vigezo gani vinahitajika, masharti, na habari zake kwa ujumla
Likizo bila malipo ina maana kwamba kipindi chote utakachokua likizo hutopata mshahara.na hii nahifahamu ktk sector ya ualimu.kwa maelezo zaidi kama umeajiriwa serikalini jaribu kuonana na afisa utumishi wako.bt kwenye sector binafsi ni ngumu sana,coz wao muda wote wako after money.so ukiondoka utakuta nafasi yako imechukuliwa.