happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
kweli jf kila mtu ni mtakatifu ,hizi ishu za kutoroka nyumbani na kulala kwa wanaume mbona ni common sana kwa watoto wa kike kila wapatapo nafasi.
Mimi ni mkaka mwenye miaka 27 nilikutana na mdada mwenye miaka 24 facebook tukaanza kuchat na hatimaye tukafikia uamuzi wa kua wapenzi. Aliniambia hakuna kwenye mahusiano kama nilivyokua mimi. Siku aliyokuja kwangu kulala alikuja kwenye saa tatu usiku, nikamuuliza leo imekuaje hadi amepata muda wa kuja kulala kwangu akaniambia baba yake amesafiri, nikamuuliza kuhusu mama yake akanambia nae ameenda kwa marafiki zake. Nikawa na swali linaumiza kichwa kua paka akitoka panya anajitawala? Tukiwa bado tunaendelea na maongezi ya hapa na pale mama yake akampigia simu kuwa amuandalie nguo kwa ajili ya kesho kazini, atazipitia saa kumi na mbili wakati anaenda kazini. Nikamuuliza kwa hiyo mama harudi nyumbani leo akanijibu ndio maana yake, hawezi kurudi kwa sababu baba hayupo. Ilibidi aondoke usiku huo huo maana alikua hana jinsi ya kulala wakati mama yake atapita mapema.
Je huyo anafaa kua mke maana toka nilivyojua tabia ya mama yake na yeye sihitaji hata kumuona. naomba mnishauri nifanyeje?
Una maana kwa sababu tabia za kutoroka na kulala kwa wapenzi ni common basi tuzihalalishe ziwe TAKATIFU? tabia mbaya zitasemwa na kupigwa vita siku zote hata kama zinafanywa na wengi.
huyo ukimuoa atashiriana vema na mama ake kukutoroka.....
bila shaka atakuwa anasema yupo kwa mama!!!!!!!
vipi wewe hutorokagi nyumbani?
je mama naye huwa anashiriki matoroko ?
tatizo mnaexpress km vile wote hapa ni watakatifu............... siwezi nikamuhukumu mwanamke kwa kutoroka kwao na kwenda kwa mpenzi wake ,,,,,mwisho wa siku tutakosa wa kuoa sasa.
Kwani wewe unaonaje? Anafaa au hafai?
Mimi ni mkaka mwenye miaka 27 nilikutana na mdada mwenye miaka 24 facebook tukaanza kuchat na hatimaye tukafikia uamuzi wa kua wapenzi. Aliniambia hakuna kwenye mahusiano kama nilivyokua mimi. Siku aliyokuja kwangu kulala alikuja kwenye saa tatu usiku, nikamuuliza leo imekuaje hadi amepata muda wa kuja kulala kwangu akaniambia baba yake amesafiri, nikamuuliza kuhusu mama yake akanambia nae ameenda kwa marafiki zake. Nikawa na swali linaumiza kichwa kua paka akitoka panya anajitawala? Tukiwa bado tunaendelea na maongezi ya hapa na pale mama yake akampigia simu kuwa amuandalie nguo kwa ajili ya kesho kazini, atazipitia saa kumi na mbili wakati anaenda kazini. Nikamuuliza kwa hiyo mama harudi nyumbani leo akanijibu ndio maana yake, hawezi kurudi kwa sababu baba hayupo. Ilibidi aondoke usiku huo huo maana alikua hana jinsi ya kulala wakati mama yake atapita mapema.
Je huyo anafaa kua mke maana toka nilivyojua tabia ya mama yake na yeye sihitaji hata kumuona. naomba mnishauri nifanyeje?
Mtoroko wa one night mi hapana, kama natoroka ni mwezi mzima.....
mama anadanganywa, haiwezekani ajue sipo home mwezi nafata mgegedo!!!!!!!!!
he he he ncheke mie, kisa tu wako anatoroka kukufata, ndo unaona uibariki hii tabia!!!!!!!
nilijua na wewe upo kwenye kundi la watakatifu wa jf......inatofauti gani sasa na kutoroka for one night ,hata huyo hapo juu hakutaka mamaye ajue.]
Hiyo one night imekaa kitoto sana asakuta same !!!!!!!
Watakatifu wana sifa gani? naeza kuwa mmoja wao afu sijijui......

mwisho wa siku mwisho wake ni kwenda kugegedwa tu na kama saiv unasepa mwezi mzima basi kwa namna fulani ulishafanyaga na hii ya one night pia.
Hiyo one night imekaa kitoto sana asakuta same !!!!!!!
Watakatifu wana sifa gani? naeza kuwa mmoja wao afu sijijui......
Nishasemaga na nasisitiza HAKUNA ALIE MSAFI
ndiyo mimi nashangaa kutupia mawe watu wanachukulia poa tu au unapoint index finge wakati vidole vyote vinne vimekupoint wewe mwenyewe....waaaaahiiii!