Box 2 JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 506 Reaction score 117 Aug 31, 2013 #1 wadau vipi leo ligi kuu ya bongo hakuna mechi zilizochezwa? Kama zipo tunaomba matokeo tupo nje kidogo ya tz yetu lakin taarifa zenu muhimu sana hasa timu yetu ya wananchi na wale wenzetu wanaopepesuka,please anaejua matokeo naomba anijuze
wadau vipi leo ligi kuu ya bongo hakuna mechi zilizochezwa? Kama zipo tunaomba matokeo tupo nje kidogo ya tz yetu lakin taarifa zenu muhimu sana hasa timu yetu ya wananchi na wale wenzetu wanaopepesuka,please anaejua matokeo naomba anijuze
ngofa JF-Expert Member Joined Jun 25, 2013 Posts 238 Reaction score 128 Aug 31, 2013 #2 Ligi kuu imesimama kupisha maandalizi ya timu ya taifa na Gambia kufuzu kombe la dunia
Box 2 JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 506 Reaction score 117 Aug 31, 2013 Thread starter #3 ngofa said: Ligi kuu imesimama kupisha maandalizi ya timu ya taifa na Gambia kufuzu kombe la dunia Click to expand... ahsante sana mdau kwa taarifa,thanx a lot
ngofa said: Ligi kuu imesimama kupisha maandalizi ya timu ya taifa na Gambia kufuzu kombe la dunia Click to expand... ahsante sana mdau kwa taarifa,thanx a lot