TBC wataonyesha hii mechi kweli wakuu??
Ngassaaaaaaaaa!!!!
Msuvaaaaaa!!!!Okwiiiiiiiiii
FT: Simba B 4-2 Yanga B
Leo simba watalala na viatu.
Huyu mtangazaji wa TBC ni sheeedah,inaonesha kwamba yanga hawapo uwanjani kabisaaaaa!!!
Huyu mtangazaji wa TBC ni sheeedah,inaonesha kwamba yanga hawapo uwanjani kabisaaaaa!!!