Siku hizi kwenye kumbi za kuonyeshea mipira hazina mvuto tena, mikia imesusa kuangalia mpira. Ila ajabu wao ndio wa kwanza kulalamika kuwa Yanga inabebwa. Sijui kwann akili zao haziwaambii na kuaaminisha kuwa timu yao ni dhaifu ili wakati wa usajili wawe makin!!!!!! Tabia hii ya mashabiki wa Simba kulalama kuwa Yanga inabebwa ndio nafasi wanayoitumia Viongoz wao kufanya usajili mbovu. Na Hans Poppe kwa kucheza na akili ya Mashabiki hao wanaolalama kuwa Yanga inabebwa jana nae kupitia vyombo vya habari akaongea hivyo hivyo ili mashabiki wa Simba waendelee kuamini kuwa Yanga haina kikosi bora kuliko cha Simba ila wanashinda mechi zao kwa kubebwa ilihali ukweli unaonekana wa utofauti wa vikosi hivi viwili kati ya kile cha YANGA na kile cha SIMBA.Jamani Yanga timu yangu , naona raha. Wapinzani wanawaza shida tu. wangoje msimu ujao
Huyo Malinzi alishawahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, hapo unategemea nini? Huyu kiumbe ni zaidi ya jipu.
Ova
Hapo umempiga nyoka kichwani.VYEO VYA GODFREY NYANGE MAKAMU RAIS WA SIMBA NDANI YA TFF:-
1. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF
2. Mjumbe Mkutano Mkuu TFF
3. Mjumbe Bodi Inayosimamia Ligi Kuu Bara
4. Mjumbe Kamati ya Mashindano TFF
Kama Yanga inanunua mechi basi mlalamikieni Makamu Rais wenu inawezekana ndiyo Muuzaji Mkuu.
VYEO VYA GODFREY NYANGE MAKAMU RAIS WA SIMBA NDANI YA TFF:-
1. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF
2. Mjumbe Mkutano Mkuu TFF
3. Mjumbe Bodi Inayosimamia Ligi Kuu Bara
4. Mjumbe Kamati ya Mashindano TFF
Kama Yanga inanunua mechi basi mlalamikieni Makamu Rais wenu inawezekana ndiyo Muuzaji Mkuu.
Mmeishiwa hoja mmeishiwa mpira uwanjaniKwa mbeleko
Hahahaha walisema wamesajiri mchezaji mzoefu kumbe mzoefu kwenye ndondoSimba wamemsajili Mzee Musa Mgosi striker tangu asajiliwe hajafunga goli halafu bado wanalalamika Yanga wananunua mechi
..na tunamrudisha MKONGWE mwingine Emanuel Okwi,tutafanye sasaHahahaha walisema wamesajiri mchezaji mzoefu kumbe mzoefu kwenye ndondo
..na tunamrudisha MKONGWE mwingine Emanuel Okwi,tutafanye sasa
asante Sana ujumbe umefikaVYEO VYA GODFREY NYANGE MAKAMU RAIS WA SIMBA NDANI YA TFF:-
1. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF
2. Mjumbe Mkutano Mkuu TFF
3. Mjumbe Bodi Inayosimamia Ligi Kuu Bara
4. Mjumbe Kamati ya Mashindano TFF
Kama Yanga inanunua mechi basi mlalamikieni Makamu Rais wenu inawezekana ndiyo Muuzaji Mkuu.
...hahahahahahaha..hkn jinsi mkuu,golini tuna mkongwe Agban,mbele kule yuko Mgosi ,tunamuongeza Okwi ,katikati yuko mkongwe kazimoto,tutafika tuuLabda atawaongezea makombe ya mchangani