Salaam wanajamiiforum kwa ujumla
Naomba nitumie njia hii kutafuta kazi
Sifa zangu
Elimu,, chuo kikuu (shahada ya elimu masomo ya sayansi)
Miaka,,26
Jinsi,, me
Mawasiliano ,, lupene2006@gmail.com
Naitaji kusaidi ndgu zangu ktk masomo yao
Napatikana mkoani
Kazi yeyote ya halali niko tayari kuifanya
Ahsanten
Ahsante kwa taarifa,, aiseeh cjawa mzoefu sana,, ila nimeona watu mawazo yao mbali mbali,, yapo yanayofanana na hili la kwangu ndio maana nikaona ngoja nami niliweke