Roho ya Maumar Ghadafi itawatandika milele, kizazi kisicho na shukrani! Watafune democracy basi kama wana uwezo, afanalek walahi! Hekima na busara ya hali ya juu sana inahitajika katika nchi za kiafrika! Mbona wao wamemkataa Hilary Clinton ingawa alishinda kwa kura nyingi?
I love you so much my mom Tanzania, you are all I have! Mwenye Enzi Mungu akulinde mama yangu Tanzania milele yote, katika jina la Yahushua ha Mashaich, Amen Ra