LIBOLO vs EL MELECKH

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Baada ya kumtoa simba LIbolo leo wanakutana na Elimereck ya Sudani ni mapumziko Elimereckh inaongoza bao moja
 
Ahsante kwa taarifa,lakini simba wakikuona au kukusikia na hivi leo wamefanya mapinduzi shauri yako.lakini vaa Helmet kwa sababu tunataka hayo matokeo kwa sababu wakishinda Simba watafurahi mno kwa sababu LIBOLO iliwapiga ndani nje.
 
LIBOLO hata likitolewa, kazi limeimaliza. Best wishes the big LIBOLO, we respect you for defiling Simba Sports Club.
 
Dakika ya77 libolo wanapata goli la2
 
Uzuri wa LIBOLO halina ugenini wala nyumbani, maadam kuna beautiful mbele yake lazima acharazwe. Go go go LIBOLO, we salute you!


Crashwise huwezi mkuta katika thread hii...
Analijuwa Libolo vizuuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…