salam wandugu, Scania 113/360 horse, bado haijaanza safari namtafuta mteja wa kulipa advance kidogo hili nimletee. bei nitakayomuuzia mil 40. Gari ni 1993,ni gari ya kufanyia service ya kawaida na kuuma tela kupiga kazi, hipo makini, kizuri chajiuza, kwa maelezo zaidi nipm.