Level of wichcraft

Joined
Aug 7, 2016
Posts
42
Reaction score
25
kuna watu katika marafiki ulionao ambao wanaangalia na kukagua page yako kila cku., lakini hakuna like wala coments ya aina yyte..balaa zaid n kwamba wameshindwa hata kukufuta maana wanaogopa sana watashindwa kupata updates unazopost wakifatilia kwa makini kitu gan unafanya..
Level ya uchawi ktk Africa itakuja ua mtu..
Level of whichcraft in africa will kill some one

..whichcraft haijawah mwacha mtu salama.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana unapenda sana Umbea kijana,afu si jinsia Me ww unaleta nyuzi za kidada.

Philips X2560
 
Aisee! Imebidi nicomment tu japo sijaelewa, nisiwekwa nami kwenye level ya witchcraft πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…