Let's dump java

MwanaNkasi

Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
27
Reaction score
4
Moja ya vyuo vikuu bora dunian,Stanford kimeicha rasmi java kutumika kama introductory programming language na hii ni miez michache baada ya kotlin kutangazwa kkama mbadala rasmi wa java katika android app development, sidhan kama hii ndio sababu kubwa ya uamuzi wa Stanford, ugumu wa lugha ni moja ya sababu , wakati huo vyuo vya hapa bongo bado vinafundsha lugha hii kama introductory programming language, hii inawafanya hawa wadogo zetu kuona maisha ya programming (computer science) kuwa magumu saaana ukizingatia background zao ,kuendana na teknolojia vyuo vikuu vingeanza kufundsha lugha kama js au python kama introductory programming language kwa kuzingatia urahis wake na umuhimu wake kwa sasa
 
Mkuu lazima ujue kuna languages ambazo ni ngumu kufa...mfano java C na C++!!

BTW Hicho chuo kimeacha kufundisha kama introductory au kimeacha kufundisha kabisa??
 
Wameacha kuitumia kama introductory ,the same waliiacha Pascal hapo nyuma , hoja yangu ni kuwa hata Tz kuna umuhimu wa kuiacha kama introductory , hakuna solid reasons za kuendeleq kuiweka kama introductory.
Itasaidia saana.
 
Wameacha kuitumia kama introductory ,the same waliiacha Pascal hapo nyuma , hoja yangu ni kuwa hata Tz kuna umuhimu wa kuiacha kama introductory , hakuna solid reasons za kuendeleq kuiweka kama introductory.
Itasaidia saana.
Vyuo vingi huku kwetu wanatumia c kama introductory sio java!! Java inasomwa full kama kozi (OO java)!!

Huwezi fundisha java kama introductory mkuu..watu wataacha shule!!
 
Nmefanya utafit hizo zinatolewa kwa wale single major kama engineering faculties lakin kwa computer science ambao ndio programmers wenyewe wanaanzishiwa na hyo java, tena nmepata info kwa udsm kwa mara ya kwanza mwaka huu ndio c imeanza kutumika kama introductory baada ya kuidamp Pascal ambayo kimsing ilikuwa inapoteza muda lakin kwa Dit ni tofaut, I think kuna needy ya kudamp java ka introductory programming language
 
Kui damp java kama introductory nakuunga mkono ila there is no way mtu utamaliza CS ..IT..SE...CE bila kusoma java!! Mara nyingi inakua ipo mwaka wapili kama kozi full!!
 
Mwalim wa udsm Sooth aje atuambie kwann waipiga chini pascal maana alikua anaona ndio language nzuri kwa cs!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…