Mwanamke, mwanamke!!mpe mbegu atakupa mtoto,mpe mtaji atakupa faida,mpe uaminifu atakupa upendo(siyo mapenzi wewe[emoji16][emoji16]). Mpe mchele sasa utachoka na roho yako!wali,pilau,vitumbua nk. Ukimpa nyumba atakutengenezea nyumbani.
Mnawaandareti tu wamama wakati mnajua kabisa kile mama zenu wamewapa..uhai.[emoji124][emoji124][emoji124]