Let's be a bit serious

UKUTA ndio imeshaanza hivyo! Lengo ni "kupaza" sauti....sasa ukitizama sana utaona Polisi wanaiongoza bila kujijua...😀😀😀
 
We don't take chances huo ulikuwa ni msemo maarufu wa Raisi wa 44 wa USA George Bush!
We don't take chances to the arm less defenceless citizens[emoji12] [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
FANYA FUJO UWONE! HAPA KAZI TU!
 
We don't take chances to the arm less defenceless citizens[emoji12] [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji15]


Who cares!
ukiwa na akili za kichadema ni lazima Polisi wetu wakuchape!
 
Japo watu wanawacheka polisi kwa kusambaza hizi picha lakini ukweli unabaki palepale watu wengi watabadilisha mawazo ya kwenda kwenye UKUTA kwasababu ya hizi picha.
 
kwamfano wakipigwa na kunyang'anywa hizo silaha wata mlaumu nani??
 
Utadhani Polisi wenyewe wanalipwa bei gani sasa? Hapo bado kufanya hayo yote ukute wamekopwa!! Si ujinga huu, mambo mengine upuuzi mtupu
 
Pamoja na kwamba ni picha, ila zina mlengo wa kisiasa. Ingependeza zingekaa jukwaa la siasa maanake kule ndio watu wanatoana macho na kupata stress za bure. Hili jukwaa la picha mara nyingi linapendeza kwa picha za kuondoa stress.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hii wiki ya countdown tusameheane tuu
 


Ushauri mzuri sana huu:"Before you run away look back who is chasing you."

Huyu hana tofauti na anayekimbia kivuli chake mwenyewe....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…