Let's be a bit serious

Haya pia ni baadhi ya vipaumbele vya matumizi ya kodi yako....
 
Naona walitaka kupiga selfie mambo ya kanga fotoo..ndomana ukiwaangalia kwa umakini mapozi waliyoyaonyesha ni kuwa walijiandaa kufotolewa picha...ila hawa man to man bila silaha unamkalisha vizuri sana
 
Hili jeshi uchwara.... Wahalifu wamewashindwa wanatafuta sehemu ya kuchukulia point 3.
 
angalau sasa najua polisi wana baruti nyingi, wamekuwa wakipiga karibu wiki nzima sasa katikati ya makazi ya raia.
 
na muvi zingekuwa zinaektia hivi bila shaka bongo movie ingekuwa matawi...!

daktari pia hujidunga sindano ...
 
Tunajiandaa na vurugu lakini siyo za ukuta.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh, picha ya kwanza hichi kinacho kokotwa naona kama ni mzinga inayotumiwa Jeshini? Navyoona hata kama kuna watu walikuwa hawaamini maana ya UKUTA, kwa haya maonesho wanaweza amini hicho ambacho UKAWA wanakipigania.
 
Wana sura laini...kama kuna gender discriminater anisaidie nisije nikamfuata Cameroon bila kujijua.
 
Lazima tung'oe mizizi ya wanafiki Tanzania
 
Siku hizi hata gari zao wanalazimisha zifanane na za jeshi kwa kukoleza rangi ya kijani badala ya kaki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…