nhobola ye2
Member
- Dec 22, 2013
- 24
- 1
Yeah anapaswa kuwapa makamanda salam na hata ikiwezekana awape maji ya kunywa akiwakuta maana makamanda wanapambana 24/7 bila kuchoka! Ajirekebishe!katka hali isiyo ya kawaida mbunge wa vti maalum jimbo la kwimba amekuwa rafiki wa pete na kdole na wana-ccm hatakufika hatua ya kutowajali wananchi hata kwa salam tu,haya yamejizihilisha leo katka stand ya ngudu mjini ambapo mweshimiwa ali-pack r4 yake na kuanza ku-chat na kna-malando(diwan ccm),na wengne wengi kutoka chama cha mizido'ntatupia pcha mda si mrefu'bila hata salamu kwa vjana na wazee waliokuwepo pale,Kitendo hki kilileta manung'uniko kwa vjana,nahata kuamini kuwa tayari naye alishakuwa tapel wa siasa'kwani wasukuma tunaaminikuwa- uluuyela na sumi ukusumila nu bebe'viongozi chunguzen huyu mama atatuangusha wapigania haki za wanyonge.
Huyu Letecia Nyerere nilimtoa thamani hasa pale aliposema kuwa serikali ianzishe chuo cha kufundisha wanaume kutongoza, kiukweli alituhaibisha sana Makamanda na chama chetu.
Huyu Mama yupo too westernized so hatufai ipo siku atakihaibisha chama vibaya sana.
Wakati mwingine vijana mnaokunywa gongo muwe mnapumzika siku moja moja
Huyu Leticia Nyerere si ndo mwenye uraia wa nchi mbili? Asubiri 2015 tumtimue aende akawe mbunge wa huko Texas marekani lakini si huku Tz kwa makamanda makini.
Makamanda punguzeni kuwa judgemental hivyo yaani from your subjective point of view kwamba kila mtu ana kasoro isipokuwa nyinyi tu!!??%Just to remind you everybody is born with a unique personality.Personality is a product of long term socialization (internalization of societal values,traditions,culture,beliefs,customs,etc by an individual) as well as personal innate wishes,needs,wants,etc.So before you judge people try to understand them first and you will find something very interesting about them.Remember YOU CAN'T JUDGE A BOOK BY ITS COVER-You need to read its CONTENTS first.
katka hali isiyo ya kawaida mbunge wa vti maalum jimbo la kwimba amekuwa rafiki wa pete na kdole na wana-ccm hatakufika hatua ya kutowajali wananchi hata kwa salam tu,haya yamejizihilisha leo katka stand ya ngudu mjini ambapo mweshimiwa ali-pack r4 yake na kuanza ku-chat na kna-malando(diwan ccm),na wengne wengi kutoka chama cha mizido'ntatupia pcha mda si mrefu'bila hata salamu kwa vjana na wazee waliokuwepo pale,Kitendo hki kilileta manung'uniko kwa vjana,nahata kuamini kuwa tayari naye alishakuwa tapel wa siasa'kwani wasukuma tunaaminikuwa- uluuyela na sumi ukusumila nu bebe'viongozi chunguzen huyu mama atatuangusha wapigania haki za wanyonge.
Hii imekaa kimajungu sana.!katka hali isiyo ya kawaida mbunge wa vti maalum jimbo la kwimba amekuwa rafiki wa pete na kdole na wana-ccm hatakufika hatua ya kutowajali wananchi hata kwa salam tu,haya yamejizihilisha leo katka stand ya ngudu mjini ambapo mweshimiwa ali-pack r4 yake na kuanza ku-chat na kna-malando(diwan ccm),na wengne wengi kutoka chama cha mizido'ntatupia pcha mda si mrefu'bila hata salamu kwa vjana na wazee waliokuwepo pale,Kitendo hki kilileta manung'uniko kwa vjana,nahata kuamini kuwa tayari naye alishakuwa tapel wa siasa'kwani wasukuma tunaaminikuwa- uluuyela na sumi ukusumila nu bebe'viongozi chunguzen huyu mama atatuangusha wapigania haki za wanyonge.
Huyu Letecia Nyerere nilimtoa thamani hasa pale aliposema kuwa serikali ianzishe chuo cha kufundisha wanaume kutongoza, kiukweli alituhaibisha sana Makamanda na chama chetu.
Huyu Mama yupo too westernized so hatufai ipo siku atakihaibisha chama vibaya sana.