Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,627
- 21,200
Nadhani hata ndani ya CCM wapo wengi tu wanatamani wawe nje ya bunge kama ukawa but wana msimamo mmoja. Kucross party lines sio kitu chepesi. We angalia Democratic na Republicans. Nchi nyingine ukifanya hivyo unapigwa risasi.Rejea definition ya chama cha siasa, neno lengo moja na nia moja ndio basis. CCM wameshupalia Serekali 2, kuna wengi mle wangependa ziwe 3, but msimamo ni 2. Wameungana wote. Ukawa wanagawa na posho. Ruzuku na posho ndio only life line iliyobaki kwa ccm kuwaumiza wapinzani. Ndio maana walifuta Saturday na Sunday kuongeza siku. Ilikuwa strategy ya kuwafanya ukawa waone lol mahela yote hayo tunayaacha. Watu dhaifu kama Shibuda akaona ndio mtaji wa kampeni next year????AMESEMA HAYO ALIPOKUWA ANAHOJIWA NA MWANDISHI WA HABARI KUWA ALIFUATA MKUMBO KUTOKA NJE YA BUNGE LA KATIBA NA MPAKA SASA HAJATAMBUA NI KWANINI UKAWA WALIAMUA KUTOKA NJE YA BUNGE LA KATIBA, MOSI AMEENDA MBALI ZAIDI KWA KUSEMA KWAMBA NDANI YA CHADEMA UNAFANYA UNACHOAMRIWA NA WAKUBWA WAKO NA YEYE ALIAMUA KUFUATA MKUMBO WA YALE UKAWA WALIOFANYA KUTOKA NJE. MY TAKE: ndani ya ukawa kuna wajumbe wapo na uzalendo kwa taifa lao na wanahoji kuhusu viongozi wao kugomea kurudi bunge la katiba mpaka sasa,nichukue nafasi hii kumpongeza mheshiwa leticia nyerere,john shibuda,hamad rashid,na ndugu arfi kwa kuweka maslahi ya taifa mbele.kwenu wadau