concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 1,413
- 1,763
Pole sana mkuu. Imebidi nicheke kwa nguvu japo unaongelea ishu za msiba. Wanaume wa Dar ni janga la kitaifa
Hulalii
Hulalii
mie sijawaona.. dah..inauma sana kuona men akilia ht mie ningelia zaidiMimi hao wanaume ndo wameniliza yaani wanalia mpaka na mie nikalia
Karibu kanda ya ziwaKiukweli kwa tukio la leo la kumuuga mshikaji wetu wa soga za kitaa pale krmjee, ni wazi kuwa mwanaume wa dar ni aibu. Mimi nimezoea wanawake tu ndo wanalia kwenye misiba na kufika hatua ya kushikwa na sisi wanaume zetu pale nikusindikiza tu nakuangalia manzi gani mpya tumsalandie. Sasa kwa tukio la reo la yale majibaba kabisa kujilizaliza mpaka kufikia hatua ya kubembelezwa na madada,ni wazi kuwa mwanaume wa dar ni aibu. Nilikuwa najiuliza kwanini hivi visukuma vinatudharau sisi wa dar wakat ndo tuneshikilia uchumi. Kumbe ishu yenyewe ni kuwa hatuna tofauti na visista duu vyetu vya kitaa kimaumbile,kivitendo, kiusoftsoft na hata kwenye misiba badala ya kwenda kuangalia demu gani mpya sisi tunaenda kujiliza tena kwa mtu ambaye miez saba nyuma tulimkosakosa kwa mijeredi.
Kwakweli kuliko niendelee na kudharaulika na wasukuma na waha, bora nikawe matonya dodoma. Naomba wanaume wadodo ambao kwenu kuzika ni asubuhi tu maana jion mnakuwa mshakuwa bwiiiii, hivyo kuzik inakuwa taabu tupu.
Yaan mshikaji wetu hata huko alipo katudharau kinoma maana yeye alikuwa muhaya halisi. Tukana, fyatua ujuavyo ila hakasiriki, yeye chini chini tu. Sasa midume mizima eti ooohh clouds umetuachaa.
Shnzyyyy type.
Nauza vitu vyote kuanzia kitanda,godoro mpaka boxer nisibaki na shombo ya dar, mnaweza niambukiza mipododo.
Kwahiyo hukuwa na mpango wa kumlilia marehmMimi hao wanaume ndo wameniliza yaani wanalia mpaka na mie nikalia
Janga la tsunami kabisa,halaf wanaume gani wana mipododo kumzid hata wema sepetuPole sana mkuu. Imebidi nicheke kwa nguvu japo unaongelea ishu za msiba. Wanaume wa Dar ni janga la kitaifa
hahaaa uwiii ndo maana wanaibiwa wanazigusa tu badala ya kusugua kikwelikweliNilimuona mchomvu akiwa na gongo mkononi.. Yani Yule manzi wake cheupe ndo anamtuliza tuliza jamaa full kujiliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale tukiwakagua vizur unaweza kuta wanazo mbiliMakoye sana, hadi unatamani uwazabe vibao mana wanadhalilisha jinsia ya kiume, wallah
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajab sasa mkuu,..balinaba ana uchungu zaid ya mtoto wa marehem..Kiukweli kwa tukio la leo la kumuuga mshikaji wetu wa soga za kitaa pale krmjee, ni wazi kuwa mwanaume wa dar ni aibu. Mimi nimezoea wanawake tu ndo wanalia kwenye misiba na kufika hatua ya kushikwa na sisi wanaume zetu pale nikusindikiza tu nakuangalia manzi gani mpya tumsalandie. Sasa kwa tukio la reo la yale majibaba kabisa kujilizaliza mpaka kufikia hatua ya kubembelezwa na madada,ni wazi kuwa mwanaume wa dar ni aibu. Nilikuwa najiuliza kwanini hivi visukuma vinatudharau sisi wa dar wakat ndo tuneshikilia uchumi. Kumbe ishu yenyewe ni kuwa hatuna tofauti na visista duu vyetu vya kitaa kimaumbile,kivitendo, kiusoftsoft na hata kwenye misiba badala ya kwenda kuangalia demu gani mpya sisi tunaenda kujiliza tena kwa mtu ambaye miez saba nyuma tulimkosakosa kwa mijeredi.
Kwakweli kuliko niendelee na kudharaulika na wasukuma na waha, bora nikawe matonya dodoma. Naomba wanaume wadodo ambao kwenu kuzika ni asubuhi tu maana jion mnakuwa mshakuwa bwiiiii, hivyo kuzik inakuwa taabu tupu.
Yaan mshikaji wetu hata huko alipo katudharau kinoma maana yeye alikuwa muhaya halisi. Tukana, fyatua ujuavyo ila hakasiriki, yeye chini chini tu. Sasa midume mizima eti ooohh clouds umetuachaa.
Shnzyyyy type.
Nauza vitu vyote kuanzia kitanda,godoro mpaka boxer nisibaki na shombo ya dar, mnaweza niambukiza mipododo.
Bora huko kwenumwanaume huoi mpaka uwe na kovu
Haha hivi hakuzimia kweli yule?Cha ajab sasa mkuu,..balinaba ana uchungu zaid ya mtoto wa marehem..
Ndomana nasema,hata sku1 usijemwamin msanii,eitha wa filam au mzik,..maigizo ni meng
Sent using Jamii Forums mobile app