Leo nimejiuzuru kuwa mwanaume wa dar bora nikawe matonya dodoma

Kiukweli kwa tukio la leo la kumuuga mshikaji wetu wa soga za kitaa pale krmjee, ni wazi kuwa mwanaume wa dar ni aibu. Mimi nimezoea wanawake tu ndo wanalia kwenye misiba na kufika hatua ya kushikwa na sisi wanaume zetu pale nikusindikiza tu nakuangalia manzi gani mpya tumsalandie. Sasa kwa tukio la reo la yale majibaba kabisa kujilizaliza mpaka kufikia hatua ya kubembelezwa na madada,ni wazi kuwa mwanaume wa dar ni aibu. Nilikuwa najiuliza kwanini hivi visukuma vinatudharau sisi wa dar wakat ndo tuneshikilia uchumi. Kumbe ishu yenyewe ni kuwa hatuna tofauti na visista duu vyetu vya kitaa kimaumbile,kivitendo, kiusoftsoft na hata kwenye misiba badala ya kwenda kuangalia demu gani mpya sisi tunaenda kujiliza tena kwa mtu ambaye miez saba nyuma tulimkosakosa kwa mijeredi.
Kwakweli kuliko niendelee na kudharaulika na wasukuma na waha, bora nikawe matonya dodoma. Naomba wanaume wadodo ambao kwenu kuzika ni asubuhi tu maana jion mnakuwa mshakuwa bwiiiii, hivyo kuzik inakuwa taabu tupu.
Yaan mshikaji wetu hata huko alipo katudharau kinoma maana yeye alikuwa muhaya halisi. Tukana, fyatua ujuavyo ila hakasiriki, yeye chini chini tu. Sasa midume mizima eti ooohh clouds umetuachaa.
Shnzyyyy type.
Nauza vitu vyote kuanzia kitanda,godoro mpaka boxer nisibaki na shombo ya dar, mnaweza niambukiza mipododo.
Afadhali leo umelijua hilo karibu mikoa ya wakulima kila kitu sisi ni rahisi tu hata msiba hatulii kama wanawake.

Tunaweka nyimbo za dini tena zile za kuabudu kusindikiza msiba alafu tunaendelea na kupashana habari mbali mbali wakati huo wakina mama wamejifunika kanga vichwani na wakiwa wamekaa kwenye mkeka kumfariji mfiwa kwa majonzi ya hali ya juu.

Wenyeji hasa kina mama ndio utakuta wanalia mpaka wanazimia, baadhi yao wakikumbushia utu na ubinadamu wa marehemu kwa kutamka wakiwa wanalia, wanawake marafiki na majirani nao hulia kwa kukumbuka wapendwa wao waliotangulia katika msiba huo hivyo kudhani wote wanauchungu na marehemu kumbe wanawalilia ndugu zao.

Misiba ya huku kwetu msiba bila kuchinja nyama ya ng'ombe na ugali wa nguvu huo sio msiba lakini DaRi SaLama haki ya Mama msibani wanapika visheti na chai na endapo utakuta chakula basi ni wali kiduchu sana.

Maji ya kopo hayakosekani misiba ya DaRisaLama wakati huku mikoa ya mashambani tunakunywa maji ya kisima yaliyowekwa kwenye ndoo na hatupati typhoid.

DaRisaLama kila kitu ni shida tu, kuku halali gizani, mbwa kazi yake ni kula na kunya tu ukimrushia jiwe anakimbilia ndani, paka anacheza na panya tena panya akijigonga kwa bahati mbaya miguuni mwa paka ujue paka atakimbia kama kapigwa jiwe.

DaRiSaLaMa kuna mengi ya kushangaza, mwanaume anafanyiwa scrub eti kurekebisha ngozi na kuwa soft, ni aibu.

Mtu anakwenda Gym ndani kumefungwa AC akitoka hapo na kopo la maji baridi eti ana control jotoridi baada ya kutoka zoezini.

Wanakimbia marathoni fake humo kwenye vyumba vya Gym, vifaa vipo flat yaani hakuna kupandisha mlima wala kushuka, wanawake wamegundua kutengeneza shape kwa kutumia Gym.

Vyakula vingi ni bandia, mboga za majani wiki moja zinafaa kuliwa, broiler, mahindi yanayochomwa huko ni Hybrid, K-vant ndio huwabust vijana kufurahia tendo, supu ya pweza, kashata na gahawa navyo vinaumaarufu wake huko mjini.

Kuna mengi ambayo sisi wa mikoani tukija DaRiSaLaMa ni kama tupo mbuga za wanyama kutalii. Kuna huduma za jamii za kutosha
Kwakweli Dar kila kitu ni biashara hadi papuchi zinakodishwa.

Wanaume DaRiSaLaMa ni Wachache sana, tunawakaribisha mikoani au tafuteni wenyeji wa mikoa miwili au mitatu kuondokana na hiyo aibu.

Wanawake was DaR punguzeni kuvaa nguo laini za kuonyesha mnatupa taabu wanaume wa mikoani, sigara zetu haziitaji nishati kubwa ili ziwake, sisi tukiona hata mchoro wa vyupi tu tayari mnatuweka matatani.

Kama mnavaa madera basi vaeni na suruali nzito kwa ndani msisingizie joto na muache kuvaa bikini na madera misambwanda inatikisika kama hamjavaa chupi.

Jamani wanawake wa DaR mtuhurumie sisi wanaume wa mikoani tuna nishati ya kutosha na mtandao muda wote upo Full sio kama wenzetu wa DaR ambao muda wote Simu zao zinasoma Network search yaani hadi afinywe finywe ndio ashtuke ndio maana wanaweza kuwavumilia hata mkivaa kwa kutamanisha.

Mkorintho wa 6
 
Pole pole mkuu. Wakiona hizi nondo si ajabu wakaishia kuangua kilio tena
 
Karibu kanda ya ziwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu si wa kanda maalum huku alikuja kwenye msiba wa mtani wake. Karimjee walijaa nshomile na watani zao kazi yao ikawa kumshangikia Domo. Wanaume tulikuwa samakisamaki. Mademu wetu walijuwa wameenda kutega wakuja waluokuwa wanalia sana ila wana nauli na waliziacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali leo umelijua hilo karibu mikoa ya wakulima kila kitu sisi ni rahisi tu hata msiba hatulii kama wanawake.

Tunaweka nyimbo za dini tena zile za kuabudu kusindikiza msiba alafu tunaendelea na kupashana habari mbali mbali wakati huo wakina mama wamejifunika kanga vichwani na wakiwa wamekaa kwenye mkeka kumfariji mfiwa kwa majonzi ya hali ya juu.

Wenyeji hasa kina mama ndio utakuta wanalia mpaka wanazimia, baadhi yao wakikumbushia utu na ubinadamu wa marehemu kwa kutamka wakiwa wanalia, wanawake marafiki na majirani nao hulia kwa kukumbuka wapendwa wao waliotangulia katika msiba huo hivyo kudhani wote wanauchungu na marehemu kumbe wanawalilia ndugu zao.

Misiba ya huku kwetu msiba bila kuchinja nyama ya ng'ombe na ugali wa nguvu huo sio msiba lakini DaRi SaLama haki ya Mama msibani wanapika visheti na chai na endapo utakuta chakula basi ni wali kiduchu sana.

Maji ya kopo hayakosekani misiba ya DaRisaLama wakati huku mikoa ya mashambani tunakunywa maji ya kisima yaliyowekwa kwenye ndoo na hatupati typhoid.

DaRisaLama kila kitu ni shida tu, kuku halali gizani, mbwa kazi yake ni kula na kunya tu ukimrushia jiwe anakimbilia ndani, paka anacheza na panya tena panya akijigonga kwa bahati mbaya miguuni mwa paka ujue paka atakimbia kama kapigwa jiwe.

DaRiSaLaMa kuna mengi ya kushangaza, mwanaume anafanyiwa scrub eti kurekebisha ngozi na kuwa soft, ni aibu.

Mtu anakwenda Gym ndani kumefungwa AC akitoka hapo na kopo la maji baridi eti ana control jotoridi baada ya kutoka zoezini.

Wanakimbia marathoni fake humo kwenye vyumba vya Gym, vifaa vipo flat yaani hakuna kupandisha mlima wala kushuka, wanawake wamegundua kutengeneza shape kwa kutumia Gym.

Vyakula vingi ni bandia, mboga za majani wiki moja zinafaa kuliwa, broiler, mahindi yanayochomwa huko ni Hybrid, K-vant ndio huwabust vijana kufurahia tendo, supu ya pweza, kashata na gahawa navyo vinaumaarufu wake huko mjini.

Kuna mengi ambayo sisi wa mikoani tukija DaRiSaLaMa ni kama tupo mbuga za wanyama kutalii. Kuna huduma za jamii za kutosha
Kwakweli Dar kila kitu ni biashara hadi papuchi zinakodishwa.

Wanaume DaRiSaLaMa ni Wachache sana, tunawakaribisha mikoani au tafuteni wenyeji wa mikoa miwili au mitatu kuondokana na hiyo aibu.

Wanawake was DaR punguzeni kuvaa nguo laini za kuonyesha mnatupa taabu wanaume wa mikoani, sigara zetu haziitaji nishati kubwa ili ziwake, sisi tukiona hata mchoro wa vyupi tu tayari mnatuweka matatani.

Kama mnavaa madera basi vaeni na suruali nzito kwa ndani msisingizie joto na muache kuvaa bikini na madera misambwanda inatikisika kama hamjavaa chupi.

Jamani wanawake wa DaR mtuhurumie sisi wanaume wa mikoani tuna nishati ya kutosha na mtandao muda wote upo Full sio kama wenzetu wa DaR ambao muda wote Simu zao zinasoma Network search yaani hadi afinywe finywe ndio ashtuke ndio maana wanaweza kuwavumilia hata mkivaa kwa kutamanisha.

Mkorintho wa 6
Walaka wa mkorintho Kwa watu wote,
 
Hakyanan nimeshindwa kuvumilia bora nikapambane na wagogo tu,
 
Back
Top Bottom