Leo mpambe wa JK wamemfukuza?

lifeofmshaba

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
867
Reaction score
219
kila anapokwenda jk lazima hule mapambe wake anaye mbegea mizigo awe kwa nyuma au pembeni, lakini nashanga leo hayupo au wakienda USA uwa anatolewa? tufaamisha wakuu na nchi yetu ya kijima


President Jakaya Kikwete (2nd R) signs a world map indicating different areas where the U.S Peace Corps Volunteers have been working since 1961.The event was held at State House in Dar es Salaam yesterday.
 
Labda kaenda msalani.na yeye ni binadamu pia lol.
 

Labda hakuruhusiwa kuingiia kwenye hicho kikao.
 
Alikuwa hajanyosha nguo kisa mgao wa umeme...
 
alafu jamaa signature yake ni zile za kulemba kwa sana
 
Mimi nikienda kwa jirani yangumara kwa mara aidha kwa kusalimia au vinginevyo na yeye anawajibika kuja kwangu hivo hivo la sivyo naacha kwenda kwake, sasa huyu mkulu kila kukicha naona yuko USA hivi analijua hilo?
 
Labda hakuruhusiwa kuingiia kwenye hicho kikao.

hata mimi nahisi hivyo labda USA naona ni kama 'BUlLLYING' kwa watumishi wa umma hasa huyo mlinzi, wasije kuwa wamemwambia hataki mambo ya dharau kwa binadamu
 
Hakuitajika hapo maana mapete tosha kulinda
 


mkuu mbona umechemsha au hukusoma kabla uandike?

 
 
Mimi nikienda kwa jirani yangumara kwa mara aidha kwa kusalimia au vinginevyo na yeye anawajibika kuja kwangu hivo hivo la sivyo naacha kwenda kwake, sasa huyu mkulu kila kukicha naona yuko USA hivi analijua hilo?

Hiyo kweli mkuu, ukienda kwa jirani/rafiki inabidi na yeye aje kwako la sivyo ujirani/urafiki una kasoro.
 
Inawezekana hiyo ni deal ya mwenye kigoda, hivyo hataki longolongo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…