Leo katika histry

JayLL7.com

New Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
3
Reaction score
1
Habar zenyu wana JF. Inasemekana ktk cku za nyuma kunako tarehe 23/04/1983 jjni Dar maeneo ya Mwananyamara kilidondoka chombo kisicho julikana chenye kutoa mwanga mkal na kuunguza mandhari ya karibu na eneo. Et police ilifanya uchunguz na kusema kuwa kile n chombo cha angan ksicho fahamika. Plz mwenye kufaham kusu hz habar anijuze na mm.
 
ndo kwanza na zisikia kwako tangu niingie jiji hili mwaka 1990
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…