johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hata Trump Alishawahigi kulalamika kwamba Chinese Yuan imekuwa devalued.Ninasikia hata Yuan imeporomoka dhidi ya USD kuliko wakati wote dunia ilipoumbwa.
Hii hawajai-devalue deliberately, imeporomoka. Note the difference.Hata Trump Alishawahigi kulalamika kwamba Chinese Yuan imekuwa devalued.
Always, Chinese Government wanapenda Yuan iwe cheap.
Wachambuzi wa uchumi wamelalamika kuwa Bank kuu ya China imeishusha thamani fedha yao kwa kiwango cha chini zaidi tofauti na awali.Ninasikia hata Yuan imeporomoka dhidi ya USD kuliko wakati wote dunia ilipoumbwa.
Huu uongo huwa mnautoa wapi? Imeporomoka licha ya Bank Kuu ya Watu wa China kujitahidi kuikwamua.Wachambuzi wa uchumi wamelalamika kuwa Bank kuu ya China imeishusha thamani fedha yao kwa kiwango cha chini zaidi tofauti na awali.
Hata 2018 Donald Trump alitoa shutuma hizo kwenda kwa Bank ya China na wakakanusha kufanya hicho kitendo. unategemea China watakubali kufanya hivyo Kama tu mpaka leo hawataki kuwekwa developed nation ila wao wanadai bado wapo developing nation.Huu uongo huwa mnautoa wapi? Imeporomoka licha ya Bank Kuu ya Watu wa China kujitahidi kuikwamua.View attachment 2370704
Tunaongelea cross-cutting issues wewe unaleta hadithi za alfu lela ulela.Hata 2018 Donald Trump alitoa shutuma hizo kwenda kwa Bank ya China na wakakanusha kufanya hicho kitendo. unategemea China watakubali kutanya hivyo Kama tu mpaka leo hawataki kuwekwa developed nation ila wao wanadai bado wapo developing nation.
Hizo ni faul za kiuchumi China huwa anafanya hakuna kipya hapo.
1. Hizo effects za ukame za kuanzia miezi July huko China zime affect vipi pesa yao kushuka sana ?Tunaongelea cross-cutting issues wewe unaleta hadithi za alfu lela ulela.
China kuna mdororo wa uchumi hivi karibuni uliosababishwa na Covid-19 Lockdowns (wao ukitokea mlipuko mpaka leo wanajifungia) na kuna ukame pia, hapo hatujaongelea vita ya Urusi ambayo imeathiri Uchumi wa Dunia, ikiwemo China.
Be realistic. Achana na propaganda na stori za zamani.
Sio pound tu, eur imeanguka kinoma nmeshangaa nmepokea eur 50 payapal kuiconvert kwa usd imekuwa usd 48 wakat awali ingepatikana zaidi ya usd 50Hiyo ndio hali halisi Pound sterling ikizidi kupotomoka dhidi ya US Dollar
1. Hizo effects za ukame za kuanzia miezi July huko China zime affect vipi pesa yao kushuka sana ?
Maana sasa china wapo kipindi cha pili cha mavumo .
2. Zero policy imeathiri vipi fedha ya China kuyumba sana kitu ambacho hakija wahi tokea toka dunia kuwahi kuwapo ?
Yote hayo yamepunguza mvuto wa China kwa wawekezaji na uwekezaji.3. Hadithi gani mimi nilizo Leta mkuu ?
Yah.. Kama wanavyoifanya Yen wajapanHata 2018 Donald Trump alitoa shutuma hizo kwenda kwa Bank ya China na wakakanusha kufanya hicho kitendo. unategemea China watakubali kufanya hivyo Kama tu mpaka leo hawataki kuwekwa developed nation ila wao wanadai bado wapo developing nation.
Hizo ni faul za kiuchumi China huwa anafanya kwenye fedha yake hakuna kipya hapo.