Lenzi ya camera imezingua,msaada please.

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,955
Habari JF....

Jamani my Canon camera lenzi yake imestuck...yani haitoki nje yote...sijui nielezaje but ndo hivyo.

Ilianguka kune mchanga bahati mbaya, sa sijui kuna particles ziliingia mana hata picha inakataa kupiga...

Then ile lenzi ikianza kutoka naskia kama mchanga ndani...

Msaada wenu please mana nimejaribu kuipuliza puliza haijasaidia sana.

NB: Me sio mtaalam wa camera sana...
 
Hiyo lensi unaitumia ikiwa manual au auto?
Ushajaribu lensi ingine kwa camera na ikapiga picha?
 
Hiyo lensi unaitumia ikiwa manual au auto?
Ushajaribu lensi ingine kwa camera na ikapiga picha?
mmh hata sjui ka ni manual...auto...me najipigiaga tu...sijui kuhusu camera kwakweli... hiyo yenyewe nilipewa tu...na lenzi yake iko attached na cam...yani haitoki...sio ya zile za kutoa...
 
mmh hata sjui ka ni manual...auto...me najipigiaga tu...sijui kuhusu camera kwakweli... hiyo yenyewe nilipewa tu...na lenzi yake iko attached na cam...yani haitoki...sio ya zile za kutoa...
Okay mkuu, ukipata mda tuwekee Picha yake kwa ushauri zaidi
 
Sidhani kama hata nikikuelekeza utaweza msaada tu nenda kwa fundi camera unayemuamini ataifungua. But kama unavifaa vya kufungulia kuna aina mbili yamatatizo tunawedha kudhania either ilipoanguka sehemu ya mkanda wa lenzi umelegea/haukushika vizuri kule kwenye temino zake.
Jambo la pili itakuwa kuna mchanga ulijipenyeza kule ndani kwenye lenzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…