Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Jun 27, 2012 #1 Hawa watu wote wamevuliwa ubunge lakini lema ndo anaonekana sana kwenye kujenga chama. Mbona aeshi hazunguki kujenga chama cha ccm?
Hawa watu wote wamevuliwa ubunge lakini lema ndo anaonekana sana kwenye kujenga chama. Mbona aeshi hazunguki kujenga chama cha ccm?
Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,665 Jun 27, 2012 #2 Hii post nirarudi kuichangia appropriately baada ya wiki mbili hivi, ngoja kwanza nione Hali ya Ulimboka inaendeleaje?
Hii post nirarudi kuichangia appropriately baada ya wiki mbili hivi, ngoja kwanza nione Hali ya Ulimboka inaendeleaje?
B Baniani Mzuri Senior Member Joined Nov 7, 2010 Posts 163 Reaction score 88 Jun 27, 2012 #3 Aeshi CCM imejaa matajiri wasio na uchungu na wananchi. Kwani Aeshi ni mkombozi?
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Jun 27, 2012 Thread starter #4 Sangarara said: Hii post nirarudi kuichangia appropriately baada ya wiki mbili hivi, ngoja kwanza nione Hali ya Ulimboka inaendeleaje? Click to expand... mpe polee uli, dah hyo picha it is so sad!
Sangarara said: Hii post nirarudi kuichangia appropriately baada ya wiki mbili hivi, ngoja kwanza nione Hali ya Ulimboka inaendeleaje? Click to expand... mpe polee uli, dah hyo picha it is so sad!
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Jun 27, 2012 Thread starter #5 Baniani Mzuri said: Aeshi CCM imejaa matajiri wasio na uchungu na wananchi. Kwani Aeshi ni mkombozi? Click to expand... sijui keshakata rufaa?
Baniani Mzuri said: Aeshi CCM imejaa matajiri wasio na uchungu na wananchi. Kwani Aeshi ni mkombozi? Click to expand... sijui keshakata rufaa?
B Baniani Mzuri Senior Member Joined Nov 7, 2010 Posts 163 Reaction score 88 Jun 27, 2012 #6 BINAMU YAKO said: sijui keshakata rufaa? Click to expand... Hawezi acha afanye biashara zake za mafuta ya kuchakachua
BINAMU YAKO said: sijui keshakata rufaa? Click to expand... Hawezi acha afanye biashara zake za mafuta ya kuchakachua