Gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa; Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amefunika Moshi, Arusha Barabara zilifungwa kwa muda wa saa tano, inasemeka kuwa shughuli nyingi zilisimama kwa muda. Amesema amerejea kutenda na kutetea haki.
Lema alikuwa akirejea Arusha kutoka jijini Dar es Salaam baada ya Mahakama ya Rufani Tanzania kumrejeshea ubunge wake aliovuliwa na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha April 5, mwaka huu.
Chanzo cha Habari ni Gazeti la Mwananchi la Jumapili, Desembe 23, 2012