Mheshimiwa umeandika ujumbe wako vizuri sana, lakini nimeshangaa kidogo unaposema Lema inabidi asome vyema maandiko ya historia na kutolea mfano Mihangwa; muandishi wa habari kama moja wapo ya watu wakusomwa? hapana sikweli, Mihangwa kaandika katika mtazamo wa kiandishi habari naye amesoma, akiwa hana primary data ya tukio. Nakushauri wewe pia soma waandishi kama Lowe, Merchant, nk. kwani wao wamefanya utafiti kuhusu French Revolution. Asante