Lema alimpua Meya wa Arusha

ni dhambi kufagia uchafu wa chumbani na kutupia takataka izo chini ya kitanda.
 

Wewe ndiwe diwani wa Terati au? Mchemsho ulioutoa hapa ungeutoa miaka 30 iliyopita ungeeleweka kidogo ila katika nyakati tulizoko unaonekana tu mchafuzi. Akili yako kama ya Constantine Massawe kwani kuna uhusiano gani kati ya wizi na kuropoka? uko off mkuu
 
CDM ndio inayojiaibisha kwa sababu hawajui maana ya demokrasia.Kama wanajua hawataki kufuata misingi yake.Hasa kwenye utekelezaji.Kwenye process hamna choice lazima mfuate.Mnatakiwa kujua uchaguzi ukiisha mtekelezaji wa demokrasia ni mshindi.Mshindwa anasubiri process ijayo.Usiposubiri ,unamkwamisha mtekelezaji sijui utamalaumu vipi kwenye process ijayo.
 
na kama mtekelezaji hatekelezi inavyotakiwa sehemu pekee ambayo una window wa kumrekebisha ni bunge peke yake.Kwenye bunge unaweza kupeleka hoja yoyote kulalamikia utekelezaji wa demokrasi ,kama una wawakilishi wa kutosha hoja yako itapita,kama haitapita na wanainchi wameona unaweza kutumia kama silaha kumshambulia mpizani wako wakati wa kampeni ya uchaguzi unaofuta..Mambo CDM inayofanya sasa hivi fujo tu sio demokrasia.
 
Endelea kumlipua mbele ya wageni😛ound:
Wewe Fredrick Sanga si ulikuwa mwanachama wa chama cha magamba,naona sasa umeamua kubadilika.Hongera sana kwa uamuzi mzuri na wa busara ulioamua kuuchukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…