LEMA ahame chama?

Mwambie zzk.cdm wanatoa fursa kwa mtu kuleta mawazo chanya kwa jamii tofati na ccm.
 
Lema ni mtu wa fujo tu. Kama ni mwanaharakati angewaletea maendeleo vijana wa Arusha mjini kwanza badala ya kuingia kwenye mijadala ya kupoteza muda.
 

Sasa kama CHEDEMA wakichukua dola Lema ahame awe mpambanaji apamabane na nani tena, kwa hiyo unataka apambane na serikali yake. Me I havent got your point
 
Lema ni mtu wa fujo tu. Kama ni mwanaharakati angewaletea maendeleo vijana wa Arusha mjini kwanza badala ya kuingia kwenye mijadala ya kupoteza muda.

vijana wa arusha mjini sio watu wa kusubiri maendeleo bali hutafuta maendeleo!
 

masalia mna KAZII NA SANGOMA wenu
 
Ally Kanah inaonekana dhahiri we ni mojawapo wa masalia, thanx LORD dawa yenu inachemka na tutawanywesha ikiwa ya moto. Inaonekana Dr. Slaa anawakosesha usingizi, nyie magamba,mafisadi na wala rushwa mlio kubuhu,mwisho wenu ni 2015, lazima muwe wakimbizi.

Nimecheki hiyo picha ya boss wako,hakuna jipya kwani hata Lyatonga Mrema alibebwa na kushangiliwa sana,jiulize yuko wapi?
Ndugu yangu hatuhitaji kiongozi anaye shabikiwa na watu,bali awe na sifa zifuatazo;
mwadilifu,
mwaminifu,
mtendaji,
asiyekuwa na tamaa ya madaraka,
asiwe mnafiki,
asiwe kigeu geu,
asiwe ndumila kuwili,
asiwe na kibuli.

Wana janvi naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…