VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
:A S angry:umetumwa na masalia kuendeleza maumivu kwa CDM?Mh. Godbless Lema,Mbunge wa Arusha Mjini, ni zaidi ya mwanasiasa. Ni mwanaharakati aliyekamilika. Ni mwanafalsafa na mtu jasiri. He makes the government works through his creative challenges. Ni Che Guevara wetu hapa Tanzania. Sasa,baada ya CHADEMA kuchukua dola 2015,yeye aendelee kuwa humu? Si vyema akahama chama wakati huo na kubaki kuwa mwanaharakati huru na mpambanaji? Tujaribu kutafakari
Masalia hawana chao CHADEMA,ni vyema wakahamia CHAUMMA ili waimarishe chama chao kabla ya uchaguzi wa 2015!:A S angry:umetumwa na masalia kuendeleza maumivu kwa CDM?
Pita salama,wasalimie huko uendako!Napita tu...
Mkuu Kamanda Kazi,masalia nawachukia na hata siwajui hao wadudu. Zitto na watu wake siwapendi kwa moyo wangu wote,kwa nguvu zangu zote na kwa akili yangu yote:A S angry:umetumwa na masalia kuendeleza maumivu kwa CDM?
Mimi naamini mtu anaweza kuwa mtetezi wa wananchi akiwa ndani au nje ya serikali,hii inatagemea kama ana nia njema ya kufanya hivyo!
Mkuu kama ilitajwa,itakuwa ilitajwa kimakosa.Mimi siwezi kuwa panda ya kupigania maslahi ya mtu furani.Mimi napigania ukombozi wa fikra kwa watanganika wote!Tukutu umerudi lini pande hizi coz Ile tajataja ya masalia member I'd yako ilikuwepo
Hivi kuvuta bangi =kuwa na bangi?wewe utakuwa na bangi
Tukutu umerudi lini pande hizi coz Ile tajataja ya masalia member I'd yako ilikuwepo
Mkuu Kamanda Kazi,masalia nawachukia na hata siwajui hao wadudu. Zitto na watu wake siwapendi kwa moyo wangu wote,kwa nguvu zangu zote na kwa akili yangu yote