Apumzike kwa amani, kwa macho yangu naona jamaa kama alikuwa mtu poa, sio mjivuni hivi..
KIfo chake kuna namna nilijisikia vibaya na ni jambo amablo si la kawaida kwangu kwa mtu ambae simjui
King james anaonekana ana kaujivuni, japo namkubali zaidi james...
Ila kobe ni moja ya vielelezo vya basketball, yupo katika list ya wachezaji wa 5 bora, kama sio wa3 ambao nimewashuhudia wakicheza basket tena kwenye peak yao