Led sony bravia 32 inch for sale @650000

Led sony bravia 32 inch for sale @650000

K-killer

Senior Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
147
Reaction score
28
ImageUploadedByJamiiForums1406402972.328195.jpg contact me here in JF if interested
 
Dah..Tsh 650,000/=. Mbona bei mkasi hvyo? Mimi nilinunua mpyaaaa kabisa trh 22 Dec 2013, kwa Tsh 670,000/. Kwa bei hiyo, si bora anayetaka kununua, aende dukani? Hyo kwa kuwa ni used, labda upewe tsh 480,000 to 500,000.

Ila Sony Bravia LED ni TV nzuri sana.
 
Not used brother! Zote ni brand new ndo maana unaona kwenye box hazijafunguliwa
 
Ni PM tuongee vizuri private Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Kwa 550,000/- nitauza kamza
 
Last edited by a moderator:
Kitu mwake. Umechelewa kdg tu. Mi juzi nimenunua LG kwa laki 9. Inches izo izo.

Ila nlikua nataka sana Sony
 
Mkuu ni swali tu, ikiwa we ni bussness man at least unaeza jua ndio mana nkauliza, kwani umekasirika?

Sijakasirika ndugu yangu nilikua tuu nakwambia kua sina hizo na wala siijui bei yake kwa sasa maana sina stock hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom