Baadhi ya Wahadhiri hua wanafanya vitu kwa makusudi ili wapate favor za kimapenzi kutoka kwa wadada, anaweza akaingia darasani anakua mkali kwa msichana hadi unashangaa huyu bwana huu ukali wote wa kazi gani?
Kuna mmoja somo lake nilikua naliona siyo gumu lakini alama alizokua ananipa nikawa sizielewi, nikaja kujua kumbe ukaribu wangu na binti fulani umechangia, na kuna mwenzangu siku anafanya presentation ilikua kama ana vita pale mbele na yule bwana.