U know wewe utakuwa wale marafiki wenye AKILI NDOGO 70%...AKILI NENE Le Mutuz am so humbled na MAshoping SHOPING.
U know ...Johannesburg si Mchezo mchezo Bata ubatani....
ANapenda showoff sana mimi kila nikipishana na gari yake huwa nabaki na sikitika tu noah imegongwa gongwa nahisi zaidi ya kuangalia maji na oil hakuna service inayofanyika, superstar anatembelea gari mbovu? bora mm na ka ist kangu walau nakapenda