N Nyasamaki JF-Expert Member Joined Feb 15, 2014 Posts 1,055 Reaction score 595 Jun 30, 2014 #1 Email ThisBlogThis!Share to TwiShare to Facebo
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,213 Reaction score 18,455 Jun 30, 2014 #2 Nyasamaki said: [h=2]LE MUTUZ LIVE AZIDI KUPANDISHWA CHATI NA MAGAZETI YA UDAKU YA UGANDA ONA WALICHOANDIKA JANA KUHUSU LE BIG SHOW[/h] Email ThisBlogThis!Share to TwiShare to Facebo Click to expand... Mmh umbea wa kiingereza ata haunogagi
Nyasamaki said: [h=2]LE MUTUZ LIVE AZIDI KUPANDISHWA CHATI NA MAGAZETI YA UDAKU YA UGANDA ONA WALICHOANDIKA JANA KUHUSU LE BIG SHOW[/h] Email ThisBlogThis!Share to TwiShare to Facebo Click to expand... Mmh umbea wa kiingereza ata haunogagi
N Nyasamaki JF-Expert Member Joined Feb 15, 2014 Posts 1,055 Reaction score 595 Jun 30, 2014 Thread starter #3 Kumbe Brother naye anaweza Tokelezea Forbes ? Hongera sana
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,583 Jun 30, 2014 #4 wajinga dunia nzima wanafanana hata mawazo yao.
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jun 30, 2014 #5 Mzee aliyeruka stage ya adolescence/Teenager na sasa anairudia uzeeni
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,583 Jun 30, 2014 #6 mwekundu said: Mzee aliyeruka stage ya adolescence/Teenager na sasa anairudia uzeeni Click to expand... na mimi muanze kuniita le billionaire matola maana kila mwenye million 5 benki ni billionaire.
mwekundu said: Mzee aliyeruka stage ya adolescence/Teenager na sasa anairudia uzeeni Click to expand... na mimi muanze kuniita le billionaire matola maana kila mwenye million 5 benki ni billionaire.
V Vlad Member Joined Apr 4, 2014 Posts 26 Reaction score 18 Jun 30, 2014 #7 Huyu ni mtoto wa Malecela mwanasiasa wa Tz?
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 Jun 30, 2014 #8 Bilionare pesa ya Zimbabwe au ?
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jun 30, 2014 #9 le mutuz nae ni billionaire looh
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jun 30, 2014 #10 hao wa UG hawajajua kuwa le mutuz ni anapenda kupiga picha na totoz
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Jun 30, 2014 #11 Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz
Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz
Paloma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 5,331 Reaction score 4,956 Jun 30, 2014 #12 makubwaaa!!!! bilioneaaaahh.......
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,865 Jun 30, 2014 #13 Le Mutuz naye ni bilionea wa ajabu (kama yule Chicago Matelefoni?)
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,213 Reaction score 18,455 Jun 30, 2014 #14 Dinazarde said: Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz Click to expand... hao waandishi wa habar wa uganda hawajui hata umbea vizur waje bongo uku tuwafundishe umbea maana hiko kipaji tumebarikiwa sana na uchawi
Dinazarde said: Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz Click to expand... hao waandishi wa habar wa uganda hawajui hata umbea vizur waje bongo uku tuwafundishe umbea maana hiko kipaji tumebarikiwa sana na uchawi
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Jun 30, 2014 #15 Dinazarde said: Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz Click to expand... zari hana mume wewe.. walishaachana siku nyingi haya maneno ya kuwa mnabeba kama yalivyo matokeo yake ndio haya....
Dinazarde said: Huyo zari mmewe anamhurusu kupiga picha kakumbatiwa hivyo!!!?labda huo unene ndio wamedhania ana pesa bilionea wa totozzzzz Click to expand... zari hana mume wewe.. walishaachana siku nyingi haya maneno ya kuwa mnabeba kama yalivyo matokeo yake ndio haya....
qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,382 Jun 30, 2014 #16 warumi said: Mmh umbea wa kiingereza ata haunogagi Click to expand... Hahaaha nilitaka kusema hivyohivyo binamu
warumi said: Mmh umbea wa kiingereza ata haunogagi Click to expand... Hahaaha nilitaka kusema hivyohivyo binamu
qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,382 Jun 30, 2014 #17 Billionaire my foot hahaha
prs JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 2,642 Reaction score 3,375 Jun 30, 2014 #18 Eti Ameopoa Hahaha 😀...
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Jun 30, 2014 #19 Heaven on Earth said: zari hana mume wewe.. walishaachana siku nyingi haya maneno ya kuwa mnabeba kama yalivyo matokeo yake ndio haya.... Click to expand... Sikujua kama wameachanaa wewe na hua simfatiliiii kihivyooo kwan kuna ubaya mi kutokujua ni kawaida tu..
Heaven on Earth said: zari hana mume wewe.. walishaachana siku nyingi haya maneno ya kuwa mnabeba kama yalivyo matokeo yake ndio haya.... Click to expand... Sikujua kama wameachanaa wewe na hua simfatiliiii kihivyooo kwan kuna ubaya mi kutokujua ni kawaida tu..
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Jun 30, 2014 #20 Gossipcopwarumi said: hao waandishi wa habar wa uganda hawajui hata umbea vizur waje bongo uku tuwafundishe umbea maana hiko kipaji tumebarikiwa sana na uchawi Click to expand... Umewaonaaa eeeeee haunogii kabisaaaa
Gossipcopwarumi said: hao waandishi wa habar wa uganda hawajui hata umbea vizur waje bongo uku tuwafundishe umbea maana hiko kipaji tumebarikiwa sana na uchawi Click to expand... Umewaonaaa eeeeee haunogii kabisaaaa