Siwezi kujua part no sababu lazima kubomoa TV hiyo itakua kazi yako kama fundi fatilia hiyo model no niliyotoa utapata part no mkuu niko hapahapa Bongo town
model moja ya TV ina weza isifanane na nyingine kwani wanaweza tumia disply tofauti toka kwa diferent manufactures.Ok let me check ila ungenirahisishia iwapo ningepata LCD part no.ngoja nicheki ntakujulisha mkuu aina shida
Siwezi kujua part no sababu lazima kubomoa TV hiyo itakua kazi yako kama fundi fatilia hiyo model no niliyotoa utapata part no mkuu niko hapahapa Bongo town
Uzoefu wetu ni kuwa most of repair workshop(zinazorepair Electronics equipment with warranty hapa Tanzania azina mafundi waliobobea,unaweza ukaipeleka ukaishia kupewa kiswahili.Au kuna ,mdau hapa Jamvini anapingana na ukweli huu?