Lazizii wangu!

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
4,992
Reaction score
3,882
Wimbo upo tatizo wa kumuimbia ndo hakuna.

SAUTI SOL

Verse 1:
Lazizi wangu wee
Zawadi nono kutoka mbinguni
Nakuwaza my baby ( Nakuwaza my baby)
Nikikuwaza usiku silali

Chorus:
Nikikuona na wengine nashikwa na wivu
Naomba unipe number yako nikuvutie wire
Nikupeleke Java
Tunywe kahawa
Tukizubaa dubaa dubaa

Verse 2:
Mukhali wanje we
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby)
Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye

Bridge:
Zunguka zunguzukane
Nikitafuta kama wewe
Mi nafeel so nice
Unanipa mi amani
Mbele Baby
Sioni njia bila wewe
wewe...eeeh Lazizi

Chorus
Mazoe manana (Mazoe manana ah)
Kadonangaeuta na lola, Na
Kanisakayo sheri nanga
Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi)

Week end njema wakuu.
 
Huu wimbo umwendee bakabaka wangu popote pale ulipo hapo mlalakuwa.
 
Hahahaaaaaaaaaa!!!!! I NEVER IMAGINED YOU AS A ROMANTIC GUY! Wimbo bombaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…