Mmmmmmmh
Siwadisi mademu kwa sifa ila najiuliza hivi nao ni bidhaa**?
mbona wanajiunza na wamepata wapi hiyo ridhaa**?
ingawa siwanunui ila nimewaona maeneo kadhaa**?
ndipo lipongundua baada ya kuona jinsi wanavyovaa**?
daah huwa nashagaa najiuliza hivi wanaojiuza nao wanaradhaa**?
je,.? wanagawa mapenzi ili mradi wapate chapaa**?
buguluni, mwananyamara, kariakoo ukipita usiku lazima upate kinyaa**?
hivi serikali na taasisi hamulijui hili au mnasubiri tupate
balaa**?
mmmmh kinga ni bora kuliko..Kuzua balaa**?
kama na wewe unayaona mwana fasihi mwezangu weka hapa ili wapeta kuduaa***?
wakina nan? hawa wakina sayansaa**.