Lazima Ucheke hahahahahaha :)

hahahahahaha, sijui watu wanafikirianini. I had a blast!
 
Sijaona cha kunichekesha hapo chalii wangu! Ila nimefurahi!
 
ukicheka jua una matatizo.
 
may be alikuwa anamaanisha 'si lazima ucheke! ha! ha hah ha!"
 
Hapo ni uwanja wa taifa Tz.
 
Jamaa kanichekesha sana, hiki ndiyo "kichekesho"?
 
Mie imenichekesha ya tatu. Jamaa wanakuja fasta mara wanakutana na mshikaji anageuza kwa speed kali akiwambia go back it is blow**b. Walikuwa wanadhani ni nanii yenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…