Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Sita, namlaumu Mh.Sitta kwa kukiuka Sheria ya Marejeo ya Katiba,2011 kifungu cha 24 (5) kwa kuanza shughuli za Bunge Maalum kabla ya kuapishwa kwa Katibu na Katibu Msaidizi wa Bunge hilo. Hawa wanapaswa kuapishwa na Rais Kikwete.Bila hawa hakuna Bunge na shughuli haziwezi kuanza. Mantiki ni kwamba Rais awaapishe na kuzindua Bunge kwanza.
Hatahivyo,imefanywa kinyume.Kiapo kilipaswa kifuatwe na kuzinduliwa kwa Bunge hilo
Nakubali nimechemka Mkuu.Zimebaki lawama tanoPetro suala la kuapishwa makatibu kubali kuwa umechemka,unataka kulazamisha kuapishwa kuendane na uzinduzi
Kweli kwa wavivu Kama Hawa wa kujielimisha ni vizuri njia zote Za uhabarishaji zikatumika kuwa junta uwezo.
Asante Mkuu,kwakuwa wewe unajua kila kitu.Ubarikiwe!Kweli kwa wavivu Kama Hawa wa kujielimisha ni vizuri njia zote Za uhabarishaji zikatumika kuwa junta uwezo.
Ya sita: Kujaribu kumbana Mwenyekiti wa Tume kutumia muda mfupi sana wa kuwasilisha kana kwamba anachowasilisha sio cha msingi.Nakubali nimechemka Mkuu.Zimebaki lawama tano
Mimi niwape Shikamoooooooooooooooo!! WABUNGE waliokataa ubabe wa Sitta na mipango ya chini ya kitanda ya Maccm. Lengo lao ni kutaka kupuuza maoni ya wananchi. Nimeshangaa sana eti wanasema Rais amebanwa na shughuli zingine.. hivi ni shughuli gani ambazo ni nyetii mpaka zimbane Rais kushindwa kuzindua Bunge?? Hapo angesikia msiba wa msanii hata kama ni Kigoma angeacha shughuli za Serikali na kwenda msibani....
Mipango yao imeshagundulika, Wanataka Warioba aanze ili JK aje kujibu kwa kutoa maelekezo... Haikubaliki hiyo. JK azindue ndipo Jaji Warioba apewe muda wa kutosha kuwasilisha maoni yetu wananchi, tena wasimdhalilishe, yale maoni ni ya kwetu sisi...
Hii nchi si ya CCM peke yao.. nchi hii ni ya kwetu sote..
Nasema SHIKAMOOOOOO WABUNGE kwa kukataa kuburuzwa na hiyo ndiyo iwe njia ya kukataa kuburuzwa... shenziiii!!!