Lara1 Tutake Radhi wana-MMU

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
834
Reaction score
450
Huyu binti akionekana popote mwambieni aje hapa jamvini mara moja atutake radhi mimi na wazee wenzangu akina Asprin MziziMkavu Arushaone Smile madameB etal.
Siku ya Tar 2/10 tulitoka na majamvi na mikeka yetu tukaketi hapa barazani tukisubiri mahojiano (MMU Exclusive Interview ) kama alivotuahidi. Nakumbuka tulinunua mbege zetu,komoni, ulanzi na mnazi kwaajili ya kulainiishia koo zetu.
Subiri weee...hola! Mbaya zaidi hata jukwaani hajawahi kuonekana,katoweka.
Sasa wale wazee wanamtaka aje hapa awatake radhi maana wanajipanga kufungua misuli yao wamuoneshe sehem nyeti za miili yaoo....utapata radhi.
Mfikishieni hizi salamu!
 
Last edited by a moderator:
Mnam let down it seems like kama kuna watu wana wivu nae hata kabla hawajamuona
 
Mhhhhhhhhhhhhhhh! mmenishika kubaya! Muungwana akikosea huomba radhi! KUMRADHI WANA JAMVI!!!!!!!! Naomba msinielewe vibaya!

Mimi kweli nia ya MMU niko nayo hata saivi kuendesha ila tatizo kubwa ni MODES!!!!!!!!!!!! Mambo yao ya kuedit kila nacho andika hata nisipotukana yalinikwaza kidogo! Sasa nikaona hata hio MMU MASWALI YANGEWEZA KUWA EDITED!!!!!!!!!!

Basi tu nikaona kama uandishi wangu hautakiwi ya nini kuforce kuandika kwenye majamvi ya watu? Akufukuzae hakwambii toka atiii! Kama muungwana nikajiweka kando kidogo.
 

na uugwana ni vitendo mdogo wangu.................
 
Thread Closed...hahah!!!

 
Punguzeni Viswa-nglish Ka Bongo Movies!!Pia Andikeni Mambo Chanya Kwa Jamii Kama Ni Matatizo Yawe Na masuluhisho Chanya!
 

Tumeshakusamehe.
 
haya sasa...kamsamaha kameshaombwa na wengne washamwambia wamemsamehe..si ndio mwisho sasa?
 

Ila @Lara1 ulipaswa kututarifu yanayoendelea huko kuliko ulivotupandishia vioo.
Ombi kwa MODS : Wana -MMU tunaomba tafadhali jamani,mmuachie Huyo messi wa Jukwaa afanye yake.
 
Sasa wale wazee wanamtaka aje hapa awatake radhi maana wanajipanga kufungua misuli yao wamuoneshe sehem nyeti za miili yaoo....utapata radhi.
Mfikishieni hizi salamu!

sijaelewa hapo.. Au umekunywa??
 

Hoja hii imepita bila kupingwa!!!!
 

Mtake radi MziziMkavu kwani hanywi mbege . Huyu ni tabibu wetu
 
Last edited by a moderator:

Kuna vimods humu JF vinajifanyaga vimungu mtu. Siku nikikasirika vizuri ntahamishia vikojoleo vyao usoni mwao. Nyambaf sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…