laptop

laptop

Mkuu mchek biashara2000 kama unawez kupm au kuangalia status yak aliyoweka! anauza laptop hyo kwa bei hyohyo! unawez ukamchek!
 
Habari mkuu,
kama upo serious...
kuna laptop yangu ninayo mwezi wa nne huu...
TOSHIBA SATELLITE L500
2GB RAM 150HDD
BATTERY 3HRS
Nakupa na begi na modem ya zantel moja
BEI 350 CASH

0787 408180/ 0712 507060
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom