The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250

Laptop yako unataka kufanyia kazi gani? ni sawa na mtu anauliza ni gari gani nzuri...unamwambia "Harmer" au "Jaguar" kumbe anataka gari ya kupeleka watoto shule na jioni kwenda kuwachukua...

Laptop unafanyia nini??

labda anataka tu kwa ajili ya fecbuk...kumbe hata nokia torch ingefaa na sms za facebuk za tigo...

angalia ram,hdd na processor,ukipata ya ram kuanzia 512 mb,processor ya kuanzia 1.6ghz na hdd kuanzia 80gb si mbaya sana,kama hutojali ni pm tuchonge zaidi!

Utapata Laptop Dell aspiron..modem kama uko mikoani TTCL, Kama uko Dar Airtel.

Laptop yoyote mpya ambayo ina RAM 2GB itakufaa kama haufanyi anything processor au graphics intensive, personally nakushauri uwe na RAM at least 4GB kuenjoy matumizi. Siri moja ya kompyuta itakayokutosheleza miaka mingi ni iwe na RAM as much as possible au iwe na uwezo wa kuongeza RAM baadae, so nakushauri 4GB ambayo iko upgradable to 8GB. Size ya kawaida 15inch ndo naona zinafaa ikiwa ndogo inachosha kutumia ikiwa kubwa inakuwa nzito sana hautataka kuibeba.

Ukishapata list ya laptops unazotaka nenda Amazon.com na NewEgg.com zitafute kisha angalia reviews, utajua mazuri na mabaya yake.

Kaka iyo Bsc GIS ni bongo hapa? Chuo gani?! Last time naulizia walikua Ardhi wanatoa diploma tu