Laptop yangu kaboom

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Aisee wadau mwanangu ameikandamiza laptop yangu na kufanya wino uzagae kwa screen,sasa haiwaki tena.yaani nlitaka kumzaba kibao nkamwonea huruma.Kifupi inaonyesha blank screen na wino basi msaada tutani wataalamu
 
laki 2 kubadilisha kioo

but unaweza kuiacha ijichuje yenyewe about 360 days itakuwa sawa tuu
 
laki 2 kubadilisha kioo

but unaweza kuiacha ijichuje yenyewe about 360 days itakuwa sawa tuu

Laptop yenyewe ni emachine je screen yako ntapata wapi.Kuna uwezekano wa kujichuja wenyewe mkuu hebu fafanua hapo
 
Hapo haiwezijichuja mkuu, cha msingi badiri screen. au kama vp ifanye kua matumizi ya nyumbani tafuta kioo kikubwa cha chogo au flat weka mezani uwe unachomeka vga cable mambo yataenda
 
Nunua machine nyingine mkuu, hiyo itafutie monitor umuachie mwanao achezee game
 
Nakushauri nunua monitor flat used mpaka 60,000/= DSM Kariakoo ziko tele ifanye desktop ya nyumbani repair itakusumbua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…