Password haiwezi kugoma kama ipo sahihi jaribu kukumbuka vizuri.
Ni sawasawa utafute jembe sehemu uliyohifadhi shoka, huwezi kulipat. Hicho unachoandika kinapelekwa kuoanishwa na kilichohifadhiwa kwenye database(stoo). Ikitokea kinamatch pc inafunguka kisipomatch ndio kama hivyo.
Jaribu kutumia Onscreen keyboard inaweza kuwa msaada.