Mugo wa kibilo
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 175
- 72
Laptop yangu min imeibwa.nimechanganyikiwa kabisa kupoteza kumbukumbu zangu nyingi sana.
Msaada kwa wataalam plz.
Nishauri pleaseUkishamaliza kuchanganyikiwa tuambie ili tukushauri cha kufanya
Ahsante sanaAchana na kitu kuibiwa PC! Pole mkuu...