Nimetoka kumtumia jamaa Tabora,kama unahitaji nipe budget yako maana ndio shughuli zangu,labda na specs vigezo vyake unataka iweje nami sitasita kukutafutia.
Mkuu nahitaji laptop core 7ge generation ya 5 au ya 6.ram 4gb hdd 500 gb baget yangu ni 450000 mpaka 5k