Ni sehemu gani kwa dar es salaam wanapo uza Stickers mbalimbali ambazo tunaweza kubandika kwenye laptop ambazo zina represent vitu mbalimbali? kwa mfano programming languages au hata kampuni??
Nimepost kuhusu hili mara nyingi kweli with zero replies and many views, Asee tuwasiliane mkuu kama vipi tutumie fursa kwenye hili swala. Tunaagiza eBay huko tuje tupige hela bongo. Pia huwa zinasaidia sana the back of the screen from scratches.
Zipo kariakoo tena nyingi sana, mfano mm nnayo transparent nmeweka kwa hp yangu. Nakumbuka zilikuepo za team mbalimbali za nje si za bongo. Wasanii, magar nk
Zipo kariakoo tena nyingi sana, mfano mm nnayo transparent nmeweka kwa hp yangu. Nakumbuka zilikuepo za team mbalimbali za nje si za bongo. Wasanii, magar nk